Monday, 1 October 2007

Black denim waistcoat & White shirt!












Kama kichwa cha habari cha hii picha kinavyosema ndio mapigo niliyoona niwawekee leo warembo...utaona kwa makini nimewawekea kuanzia hapo juu Women's black diva dial with white strap watch,Black frame shoulder bag,pearl long necklace,Black denim waistcoat,White shirt,Petite deep blue straight leg jeans,franco sarto blk lthr

1 comment:

Anonymous said...

I cant pict myself in this outfit