Mimi hapo sina la kuongeza zaidi ya kuwapa fursa ya ku.ukongotea mdungo huo kwa umakini zaidi maanake ni mambo ya utu uzima flani hivi...tukianzia chini nimewapa ck.black patent,Black ribbon trim striped prom dress,Filigree Pendant Necklace,Teardrop Earring na kumalizia na Black patent fold top bag
No comments:
Post a Comment