
Hayo ndio mambo ya leo masela wangu..hapo nimeona niwawekee kuanzia chini Navy capri canvas trainers,Light blue bleached sandblast classic fit jeans,Blue linen pinstripe shirt,Navy 'Golf' lambs wool design knitted slip,Police:Men's white square dial with black strap watch,na huo unyunyu wa Davidoff:Cool Water for him fragrance....
Mkuu jeans imesimama vya kutosha na huo mguu chini chata la nike iko poa ile kinoma
ReplyDelete