Wednesday, 17 October 2007

Candice Metallic Tote & Metallic Sole Domino Shoe!







Da sijui hata nianzie wapi kutokana na mpangilio wa mapigo haya pichani yalivyokaa mstari..ok labda nianze kuanzia chini nimeona nikudunge kwanza na Metallic Sole Domino Shoe,Freshwear Plaid Pant (Back & Front View),Daytrip Floral Shirt,Chunky Chain Necklace,Sunglasses,Candice Metallic Tote....mnaonaje hapo warembo?

No comments: