Thursday, 4 October 2007

Damson shirt with a colourful floral bloom print with a casual fit from the Mainline collection. The fabric is in shades of khaki, burgundy and cream








Hayo ndio mambo ya Damson shirt with a colourful floral bloom print with a casual fit from the Mainline collection. The fabric is in shades of khaki, burgundy and cream nikiwa nimeyaambatanisha pamoja na sunglasses,Men's round dial with two tone bracelet strap watch,na chini nikiwa nimekuwekea kuanzia Mark Nason Brown Lthr,Five Four Dres Jean nakumalizia na BKE Cross Buckle Belt

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Eeebwana sheria hii outfit ni kali sana na nadiriki kusema ni katika ya vitu vikali ulivyopata kuweka humu kwenye blog yako mkuu kitu kimesimama kuanzia kiatu jeans shati hadi miwani ni sooo yaani unatoka ile ki-gentlemen

Anonymous said...

hii kali mzee nimekubali