Wednesday, 24 October 2007

Daytrip Printed Dress & Cobian Ariel Flip!






Kama kawaida mapigo nayowawekea waembo ni simple sana na ni mazuri kwa kukandamizia kwenye mitoko midogo midogo...kama hapo nimekuwekea kuanzia Cobian Ariel Flip,Daytrip Printed Dress,Charm Necklace,A.J. Morgan Princess Sunglasses,Chateau Hobo Purse.....

No comments: