Driving Moc & Grey mock shirt knit jumper
Haya wazee na wakurugenzi wa blogu hii..hayo ndio nimeona mapigo mwanana kuwapa kwa siku hii ya leo...tukianzia chini nimeona niwawekee White lthr By Tommy Hilfiger,Olive single pleat chino trousers,Grey mock shirt knit jumper,Black leather holdall,Men's chronograph dial with black bracelet strap watch,Boss in Motion...
No comments:
Post a Comment