
Haya mimi kutokana na stock hiyo niliyowawekea leo warembo sina la kusema...ila ukitazama kwa umakini stock nzima imetulia kisawasawa na simple sana....tukianzia chini nimeona nikudunge Report Plaid Madrona Shoe,Gavin Knee Short,Skinny Linen Belt,Scoop Neck Tank,Flying Tomato Plaid Swing Jacket,Stone Pendant Necklace,Sunglasses,Studded Purse...nadhani warembo mmenisoma fresh hapo?







1 comment:
mzee wa sheria stock hiyo nimeizimia kishezi, je nitapata dukani kwako? hivi ushafungua duka hapo dar? tufahamishe
Post a Comment