Wednesday, 3 October 2007

Full Black & Mixing Colors






Nadhani warembo swala la kuvaaga nuo ya rangi moja mara nyingi huwa inapendeza endapo utaimix na rangi nyingine ambayo itareflect fresh..kama picha nimekuwekea nguo ambazo zote ni full blk na kumix na rangi tofauti kuanzia kiatu mpaka pochi na bangili la mkononi....kama tukianzia chini nimekuwekea hyo Naughty Monkey Highway Shoe,Black long lamour skirt,Black long lamour skirt,A.J. Morgan Wiley Sunglasses,Cinched Tote,Marbled Bangle Bracelets...

3 comments:

  1. yaaaah! hapa kwa kweli ukivaa like this msichana lazma upendeze especially ukiwa na kafigure kidogo sababu ya hiyo skirt

    ReplyDelete
  2. Cool...it's a really nice combination with mixing colour shoes...

    ReplyDelete
  3. I love the mixed colors of the shoes........Candy where u at....

    ReplyDelete