Wednesday, 10 October 2007

Hurley One And Only Sweater & Brooks Uniform School Pant!




Waungwana mimi hapo sina la kusema la zaidi ila nyie kamateni hiyo stock mserebuke nayo maanake stock imekamilika vilivyo na imeshiba...nikikupa info kuanzia chini utaona nimekudunga kuanzia BKE Twin Gore Slip-On Shoe,Brooks Uniform School Pant,Untouchable Lloyd Shirt...,Hurley One And Only Sweater,Sunglasses,Fossil Cut Crystal Watch.

No comments:

Post a Comment