Monday, 22 October 2007

Mambo Ya Yellow & Brown!






Haya hayo ndio mambo ya kumix rangi ya Yellow & Dark Brown wakati wa kulipuka mapigo Casual tu au hata kwenye mitoko minene..sasa basi nisipoteze muda hapo utaona nimeudunga kwanza kiatu Guess Yellow Patent,Brown linen shirt dress,Layered Necklace,Yellow Hoop Earring,Yellow Handle Tote

No comments: