Thursday, 11 October 2007

Mdau!

Hapo wadau nadhani sina neno la kuongeza wala kupunguza ila pichani ni mrembo na mdau wangu mkubwa Totoo ze bingwa akiwa ndani ya pozi moja matata sana na kulipuka na pamba kali na kumtoa sana kusema ukweli nimemkubali sana kwenye mlipuko huo...Totoo wape hi wadau wangu wote huko Poland.....

6 comments:

Faith S Hilary said...

Lukin FINE! girl...I love the hat

shamim a.k.a Zeze said...

oyeeeah hata mie nimekubali....katulia anafaa kuwa model wa 8020...sheria naomba contact plzzzzz

Anonymous said...

naona wangua.special day ndio leo??..wadau wa poland wanakupa hii..kinomaaa..mwendo ule ule km kawa au sio??1

Anonymous said...

huyu demu bwanaa hayaaaa

Anonymous said...

ebwana demu katuliaa..anapatikana wapi nipe contact mwana..

Anonymous said...

Shamim bwana,Tototo yupo polo ni mtz uyo ila anapenda sana kulipuka kama ivi,na anapenda sana kupiga picha uyo Ney ndio jina lake,kama vp 2wasiliane nikupe cont zake.reen_minja@yahoo.com.Reen Tz.