Friday, 26 October 2007

Mdau!

Haya wadau wa blog hii huyo nae ni mmoja ya mdau wangu mkubwa anakwenda kwajina la Eric...kama kawaida anawapa hi wadau wote wa blog popote pale mlipo ...haya kamanda wng nadhani salamu zako zimefika nakuona umelipuka mkwaju mmoja matata sana hapo chini..Keep it up!

2 comments:

Anonymous said...

mkwaju umetulia sana
na kavaa simple kapendeza

Anonymous said...

ooh eric jamani,he looks realy good,i miss him,shani.