Hao ni kati ya wanamziki wakali sana duniani Bow Wow na Omarion wakiwa katika pozi moja matata sana na pamba walizolipuka hazina mfano...kusema ukweli wanamziki hawa vijana wanajua kuvaa pamba za maana na kupendeza vibaya sana.....wadau mnaonaje milipuko hiyo mzee mzima Tinashe unaona mapigo hayo?
No comments:
Post a Comment