Red vinyl print dress na Mollie Shoe nikiwa nimezidunga sawia na midungo ya maana..najua kwahiyo rangi itakiwa imewavutia kinoma...hapo nimewawekea na hizo Linear Drop Earring,Women's white square dial with white strap watch,White dome grab bag na kumalizia na hiyo Lovely fragrance by Sarah Jessica Parker...
No comments:
Post a Comment