
Mambo ya Roxy Shasta Boot hayo warembo..hii style ya maboots iko juu sana hasa katika kipindi hichi cha msimu wa autumn...nadhani kwa warembo hapo mtakubaliana nami...hapo nimekuwekea pamoja na Lucky Brand Merry Meggie Stretch Jean,Roxy Anything Thermal,Sunglasses,Fossil East.West Watch na kumalizia na Roxy Winter Queen Purse....





1 comment:
Luv the boots...so cute and nice and so is the outfit as well..Sheria keep doin ur thing....
Post a Comment