Wednesday, 10 October 2007
Safi Sana Shamim!
NIRVANA NI KIPINDI KINACHOHUSU MASUALA YA SANAA NA MITINDO AMBACHO KINAONYESHWA KATIKA RUNINGA YA AFRIKA MASHARIKI EATV A.K.A CHANNEL 5 WIKI HII KIMEFANYA MAHOJIANO NA SHAMIM 'ZEZE' KUHUSIANA NA MAVAZI YAVALIWAYO MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHAN ....KUJUA MACHACHE KUHUSIANA NA BLOG YA FASHION TANZANIA KAMA SI AFRIKA MASHARIKI 8020FASHIONS.BLOGSPOT.COM....KUJUA MENGI ZAIDI JONGEA KATIKA RUNINGA YAKO MIDA YA SAA 1 KAMILI USIKU NA KURUDIWA JUMAMOSI SAA 12 JIONI......haya tujange mwanawane!!!!
Hongera Sana Shamim....
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment