Ni kati ya wadau zangu wakubwa sana wa Blogu hii...Pichani Homeboy Tinashe na Mama Janet wakiwa wanarepresent kama kawaida katika Bash moja matata sana lililofanyaka jana ...kama kawaida Bash hilo watu walilipuka pamba simple na za maana sana kama uonavyo pichani juu!Mapigo yote pichani juu by Sheria na Mavazi.Mzee mzima Cciza unamwona Nash?
3 comments:
one love mumetoka nyokoo vibaya sanaaaaa
hii ni couple?if not,let it be...wamependeza sana skin colour n everything big up mr mavazi
wow! this lady is pretty and attractive,nice smile.i wish i could have her contacts..mr sheria can u help me with that?
Post a Comment