Monday, 15 October 2007

White & Pink...





Hayo ndio mambo ya kumix White & Pink...Utaona nimekuwawekea kuanzia White Leather Sandals,White Linen Trouser,Men's informal shirt na kumalizia na Pink Gents formal jacket...Malu upo hapo?

1 comment:

Anonymous said...

mzee babu kubwa sasa ile project yetu vipi bongo au bado kidogo maana watu wameshaanza kuniulizia lini watapata stock mpya hizo unazotaka kuwaletea..mzee fanya faster tuwakilishe kama kawa tupo pamoja mzee amani kwako