

Kwanza warembo nianze kwa kuwapa mkono wa Eid na pili niwape mlipuko mmoja simple na mkali wa kujilipua nao...kuanzia chini utaona nimewawekea kuanzia Leather Flats,Baya White Linen Short Length Trousers,Daytrip Hooded Sweater,Red Necklace Chain,Plastic sunglasses, Ray-Ban,na mkoba wa kushikilia mkononi huo.............




No comments:
Post a Comment