Sunday, 11 November 2007

AND THE WINNER IS…RICHARD!

Richard Bezuidenhout ndiye mshindi wa Big Brother II.Kwa maana hiyo kitita cha $100,000 za kimarekani kimemwendea Richard na hivyo kwa njia moja au nyingine kitaingia kwenye mzunguko wa fedha nchini Tanzania. Mshindi wa pili ni binti kutoka Nigeria Offuneka, Tatiana,binti kutoka nchini Angola ndiye mshindi wa tatu.Big Up sana Richard... we are so proud of u and Tanzania as General… Lets wait for Richa this 1 Dec another breaking News from China am sure we gonna hit the trigger again!!

No comments: