Wednesday, 14 November 2007

Black slinky dress & Sole Mollie Shoe!




Hapo je mnaonaje warembo stock hiyo?chini nimekuwekea Sole Mollie Shoe,Black slinky dress,Multi Bead Necklace,Sunglasses na BKE Tote....Totoo Upo?

3 comments:

Anonymous said...

Hi,,,,Ninapenda your style sense..lakini hapo kwenye hiyo black dress..i think ni better mtu akivaa na bright coloured shoes to add life to the whole look(ie red christian louboutin patent pumps)..au instead of shoes accessories ziwe somehow colour full..like just the sun glasses to have a colourfull frame..or if not..the make up should be bright and colourfull.. ruby red lips maybe..makes it look alive and more chic..that's my opinion..otherwise..you are awesome ..i love what you do..!!!

Sheria Ngowi. said...

hi veronica..shukrani sana kwa maoni yako na nimekuelewa sana na ni nimekubaliana na wewe kwa njia moja au nyingine...basi ntafanyia marekebisho kwa stock zijazo au sio...thx

Anonymous said...

nimeonaa wanguuuu..dah mbona wanikosha mwanawane usifanye nikaibe bank nilipuke km hivyoo..dah kazi nzuri wangu..tupe vitu maana wengine ndio twala chabo hapa b4 tutoke out...tusije chekesha umati buree..unatuokea wengi..hehee..mi huo mchuchumiaa ni balaaaaaa...[PAMOJA!!