
Haya wakurugenzi wangu mnaopenda kuvaa simple na kutoka kioldies flani hivi basi mapigo ndio hayo...mapigo haya huwa yanapendwa sana na watu mbalimbali ila huwakaa na kuwatoa sana kwa watu wenye miili ya wastani ...nikianzia down utaona nimekuwekea hiyo buti inayokwenda kwa jina la Brown Antiqued leather,BKE Justin Jean,Bob Marley T-shirt,Stripe Scarf na Jaxon Ivy Cap Windowpane Plaid...Vipi Davi Silaa hapo unaonaje mapigo hayo?




No comments:
Post a Comment