Hidden Plaid Shirt & Jaxon Corduroy Ivy Cap
Hayo ndio mapigo ya Kihiphop Style flani...kwa wale walikuwa miaka ya 90's watakumbuka aina hiyo ya shati ilikuwa inajulikana sana kama Snoop Dogg Dogg Style...basi kama kawa nimekuwekea kuanzia chini Converse Chocolate,MEK Easter Island Jean,BKE Leather Belt,Hidden Plaid Shirt na kukandamizia mwisho na Jaxon Corduroy Ivy Cap.
No comments:
Post a Comment