Friday, 16 November 2007

Jaxon Windowpane Ivy Cap & Lemon Fine Pinstripe Shirt....





Haya wadau kama kawaida hayo ndio mapigo ya leo na nadhani hapo mtakuwa mmeona clear kabisa kwa jins gani hayo mapigo yalivyotulia kulipuka nayo..kwa kuanzia down nimekuweka hiyo classic brown sperry top sider,Dark blue blasted bootcut jeans with striped belt,Lemon fine pinstripe shirt,Jaxon Windowpane Ivy Cap unasemaje mapigo hayo kamanda wangu nziza?

1 comment:

Kishazi said...

kaka hapo nimekukubali sana wangu,hasa hiyo shati nimekukubali kimno big up saaana tupo pamoja....

David silaa