Hayo ndio mambo ya kujipigilia Black & Yellow kwa wakati mmoja yanavyokuwa yanavutia endapo utaamua mrembo kumix namna hiyo...nadhani mtakubaliana na mimi ya kwamba ukichanga siku zote rangi plain kwa palin kwa wakati mwingine inavutia sana..hapo chini nimeweka kwanza Guess Yellow Patent,Black satin shirt,Black bell shaped shirt,Multi Bead Necklace,Rhinestone Earring,Yellow Large Tote...Sophia Mk upo hapo?
No comments:
Post a Comment