Kwa leo warembo sina jipya ila kwakuwa leo ndio tunaanz weekend basi najua na mitoko kibao itakuwepo pia..na kwa upande wangu nawape stock kama hiyo ambayo iko simple na classy kinoma...tukianzia juu nimekuwekea kuanzia High Heels ya Mbunifu Givenchy,Gold cross pleat short dress,Large Heart Pendant Necklace,Black Sunglasses na Black patent crystal flower detail slouch bag.......
No comments:
Post a Comment