

Haya warembo leo naona nimechelewa kuwawekea mapigo kwa siku ya leo..basi bila ya kupoteza muda ndio nawadunga mapigo yaliyopo pichani kuanzia chini nimekuwekea kuanzia Flat Sandals,Turquoise jewelled dress,BKE Floral Cutout Earring,Rhinestone Purse,Glitter Inset Bangle na kumalizia na huo unyunyu wa BVLGARI Pour homme 40ml.....




2 comments:
Matatizo ya copy and paste ndio haya. Hiyo Bvlgari ni ya wanaume wewe unataka kina dada waivaie? Taabuuuuu kweli kweli.
kwikwikwikwikwikwiw
we anonymous hapo juu ni ushamba unakusumbua au hujawahi kutumia perfums? inaelekea umekariri wewe hyo perfum...nowadays kuna perfums za kike na kiume same company name...acha ushamba dada coz najua we ni dada.kuletewa zawadi ni shia sana bora sometimes uwe unajinunulia mwenyewe vitu kama hvyo then utaelewa.
Post a Comment