Friday, 30 November 2007

Nkrumah St.Boys!

Kama kawaida napenda kuwapa shavu nene Homeboys wangu katika pozi matata sana...kama kawaida wakiwa wanaongozwa na Chiza (shoto),Gedion(kati) na Fadhil (Kulia)...Chiza vpi mbona Eddy Tazi na Tall hawapo...Big Up Sana!

1 comment:

Anonymous said...

Aaah gid, Much love bway!!Nkrumah's our street, au sio sophia, gid, jema ahhaha Good times`!!FT