Wednesday, 28 November 2007

Pink Check Fitted Shirt





Pink Check Fitted Shirt ndio mambo ninayowadunga hii leo maanake ni mapigo ya kiutu uzima....mambo ya kulipuka pamba simple kama hizi na kukufanya unaonekana uko njema vibaya sana endapo ukipata kajimtoko flani...kama kawaida chini nimekuwekea huo mkwaju sand leather loafer shoe,Taupe crease resistant flat front trousers,Bailey Hanson Fedora Hat....

No comments: