Monday, 3 December 2007

Black Ribbon Trim Striped Prom Dress + Black Patent





Kama kawaida warembo baada ya kumalizia weekend yetu salama sasa ni wakati wa kulipuka pamba kama kawa..na kama kawaida nimeona niwadunge mapigo ya kutokea na kama kawaida kuanzia down utaona nimekudunga Black Patent,Black ribbon trim striped prom dress,Cluster Necklace & Big Black Shiny Bag...

No comments: