
Leo nimeona niwape special stock wadogo zangu wote kama zawadi kwao ktk sikukuu kubwa kuanzia X-Mas & New Year...Basi kama kawaida na nyie mpate angalau mfano wa kijistock flani mlipuke nacho kama picha kwa upande wa kike nimeweka Pink Pearlized Shoe & Dark Turquoise Flower Prom Party Dress....Shukrani kwa mrembo Candy kunikumbusha swala hili...

No comments:
Post a Comment