Kama kawaida weekend hii ntakuwapa nawapa mapigo ya kijah kwa sana ili kuwapa shavu la maana wadau wangu wapendao sana aina ya mapigo haya..tukianzia juu ni Bob Marley Hat,Jah T-Shirt,Guess Jeans,Black Leather Converse...Mzee mzima David Silaa Upo hapo?
No comments:
Post a Comment