Thursday, 13 December 2007

Mambo Ya Black & Yellow!






Ukisikia kuvaa Black & Yellow nadhani warembo mtakuwa mmeshapata picha kamili ya mchakato huo..kama pichani juu nimekuwekea Vintage Yellow Bag,Black Sunglasses,Black Small Button Detailed Dress,Yellow Multi Dress Shoe

No comments: