Friday, 21 December 2007

Mambo Ya Nike Air Force 1





Hayo ndio mambo ya Air Force 1 wadau wangu ambao ni wapenzi wakubwa wa Hiphop Style...kama kamaaida nimeambatanisha stock hiyo pamoja na MEK Cape Town Jean,Shimmer Belt,Red Polo T-Shirt na Owen Red Aviators

No comments: