Thursday, 6 December 2007

Mambo Ya Rock Style!






Hayo ndio mambo ya Rock Style...kama kawaida uvaaji huu uko funky sana pia ukipata nafasi ya kukamua stock kama hizi unatakiwa uwe nastyle flani ambayo ukilipuka 2 watu wanakukubali...kama kawaida down nimekupa kuanzia hiyo Black Burnished Leather Boot,Guess Jeans,Chain Wallet,Affliction Lion Shield T-Shirt,A.J. Morgan Mumbles Sunglasses na kumalizia msumari wa mwisho kwa kuvaa hiyo BKE Cross Cuff.......Nash unasemaje hapo na Frank Pune?

No comments: