Wednesday, 5 December 2007

Mambo ya Vintage Style Hayo






Wrembo kwa leo nimeona niwadunge mapigo ya kizamani au Vintage ambayo ni yako juu sana kwasasa..kama tukianzia juu utaona mwenyewe Distressed Tote,Layered Teardrop Earring,Beaded Cluster Necklace,Vintage Cream kaleidoscope sundress,Light Green Vintage High Hells Shoe...Sophia Mk upo hapo?

No comments: