Monday, 3 December 2007

Mapigo Classic/Oldies Hayo






Mapigo Classic/Oldies hayo wakubwa...kama kawaida mtakuwa mmenisoma sana kuanzia juu mpaka chini mpangilio nilivyouweka na jinsi gani umetulia..chini nikianzia nimekupa kwanza Dark Brown Clarks Boot,Guess Eden Jean,Fossil Gavin Belt,Sweater Shirt,Chocolate Velvet Blazer,Fossil Smoke Watch

No comments: