Sunday, 16 December 2007

Mlipuko!



Mlipuko huo waungwana kama kawaida nimeona niwadunge ili tumalizie weekend fresh...kuanzia juu utaona nimekuwekea kuanzia Brown Velvet Blazer by Paul Smith,Pink Formal Shirt na Brwon Spot Tie,Brown Formal Trouser na Velvet Italian Shoe

No comments: