Thursday, 6 December 2007

Suti!




Hayo ndio mambo ya suti wakurugenzi wangu..kama kawaida nimekuwekea kuanzia chini Black Calf Leather,Black Smart Trousers,Leather Belt,London Line Formal Slim Fit Shirt With A Single Cuff & A Semi Spread Collar,Pink Gents Formal Jacket

1 comment:

Anonymous said...

hahahhaa lakini afadhali haya marangi unayaweka karibia na Xmas.
Hivi unajua maana ya suti au unataka kubabaisha watu? Suti lazima koti na suruali viwe na rangi na matirio ya kitambaa viwe vinafanana. Pinki na nyeusi sidhani kama vinafanana.

P.S. Uweke huu ujumbe usiweke lakini utakuwa umenisikia nilichokuwa nataka kusema