Hao ni wadauz wangu wakubwa wa blog hii wakiongozwa na Mrembo Sophia & Amina katika Pre Wedding Bash la mrembo Winnie mwenye gauni la white pichani chini..Kwa kifupi wadau nadhani mtaungana na mimi ya kwamba watu walitoka nyoko bovu..Nawapa pongezi wabongo wenzangu wote pichani kwa kuwakilisha vilivyo na pamba za maanaaaa...Big Up Sophia & Amina nimewasoma pamba zenu ni sooooooooooooooooooooo...Mrembo Winnie Hongera sana
No comments:
Post a Comment