Wednesday 30 January 2008

Funky Style!






Nadhani warembo mmeiona kwa ujumla stock hiyo kwa ujumla ilivyotulia..sasa basi nadhani kila mtu ana mwonekano wake tofauti na inaweza kutokea ukapenda mpangilio wote kwa ujumla au ukapenda kitu kimojawapo katika stock yote..sasa cha kufanya unaweza kupigia kura kwa kusema ni kitu gani kimekufutia katika mlipuko huo na kukipigia kura warembo..

Funky Style!
Metal Trim Bangle
Balenciaga Giant City Bag Dark Brown
Plaid Wool Fedora Hat
Abigail Sweater Top
Abigail Sweater Top
Brown Boot
Stock Yote Kwa Ujumla Iko Juu
  
Free polls from Pollhost.com

No comments: