Wednesday 30 January 2008

Mapigo!




Kama kawaida wakuu leo nawapa mapigo ya kufa mtu,kama unavyoona pichani unatakiwa ukiwa ni mtu mvaaji ujue kumix sometime mapigo tofauti tofauti na ukae ukijua mtu anayejua kuvaa ni yule mwenye nguo chache ila anajua kumix na kila siku kuona kana kwamba anastock mpya kumbe ni zile zile huo ni mtazamo wangu wadau sijui nyie mnasemaje hapo?basi pichani nimekuwekea kuanzia Sperry Top Sider Navy Casual Shoe,Silver Decker Jean,Blue pink block stripe shirt,Velvet Vest

No comments: