Monday, 18 August 2008

MARY J. BLIGE










Mary J. Blige-Musician,kusema kweli kwa uvaaji yupo juu sana..na hii inatoka tu na kuwa na choice nzuri ya mavazi yake...kwahiyo kwa leo kwenye Top 10 hii nampa Mary J namba 5...

1 comment:

BRAYAN said...

mzee vipi kuhusu SANAA LATHAN.ebu mcheki nae.