I AM HERE KWA AJILI YA KUMPA CREDIT YA KUTOSHA AVID,meen jamaaa anaimba tena kiinternational kabisa,ujue nimefungua ur blog mara naskia sauti ya muziki,nataka nisema who is that tena(mawazo kama star fulani wa states hivi) dah kumbe ni uyu MTZ kama sijakosea, nikaenda hadi kwenye youtube kucheck but i think anatakiwa kuchangamka kidogo kwenye stage,asisimame tu,aangalie performance ya juzi American Music Awards ya whitney kwenye youtube,yaani anaonesha feelings za wimbo japo amesimama sehemu moja. I want to hear you become BIG i will be one of your no.1 fan
I AM HERE KWA AJILI YA KUMPA CREDIT YA KUTOSHA AVID,meen jamaaa anaimba tena kiinternational kabisa,ujue nimefungua ur blog mara naskia sauti ya muziki,nataka nisema who is that tena(mawazo kama star fulani wa states hivi) dah kumbe ni uyu MTZ kama sijakosea,
ReplyDeletenikaenda hadi kwenye youtube kucheck but i think anatakiwa kuchangamka kidogo kwenye stage,asisimame tu,aangalie performance ya juzi American Music Awards ya whitney kwenye youtube,yaani anaonesha feelings za wimbo japo amesimama sehemu moja.
I want to hear you become BIG i will be one of your no.1 fan