Friday, 5 February 2010


Na imani wengi wetu tuliofanikiwa kusikiliza kazi ya msanii wa mrembo wa Bongo flava Nuru Mohamed a.k.a Nuru the Light, tutakua tunamfahamu vizuri. Kwa wasio bahatika kumsikia basi hii ni nafasi pekee,
One on One na D411

Dar411: “ Kwanza tupe kwa ufupi historia yako ya kimuziki mpaka hapa ulipofika leo.

Nuru: Nimeanza kuimba toka nikiwa mdogo lakini rasmi kabisa nimeanza kuimba nikiwa na miaka 16 baada ya kipaji changu kugunduliwa na Marehemu James Dandu, kipindi hicho nilikuwa tayari nimesharekodi nyimbo tatu (3) lakini ilikuwa katika lugha ya kiingereza nilikuwa Sweden kwa kipindi hicho,ndipo nikajiunga na kundi la Marehemu Dandu likiwa linaundwa na Cool James mwenyewe na Black teacher.''

No comments: