mama wa mitindo asia idarous-khamsin akitambulishwa na MC Joketi Mwegelo wakati wa onesho la mmavazi la Lady in Red lililoandaliwa na Fabak Fashions usiku wa kuamkia leo na kuhudhuriwa na mamia ya wadau wa fani hiyo. Jumla ya wabunifu mitindo 16 walionesha vitu vyao pia.

Onesho La Mavazi Lady In Red 2010
Picha Kwa Hisani Michuzi
Picha Kwa Hisani Michuzi








No comments:
Post a Comment