



American Nurse 2 Movie Premiere featuring Cynthia Masasi...Cynthia Masasi super model mashuhuri aliyeamua kujikita kwenye maswala ya kuigiza. Mpaka sasa binti huyo mrembo wa kitanzania mwenye aishie Marekani, ameshamegewa vipengere kadha kutoka filamu mbali mbali ambapo American Nurse 2 ikiwa ni moja ya movie alizo cheza. Pichani Cynthia Masasi akiwa na waigizaji wengine washiriki kwenye fungua dimba ya filamu hiyo.
Picha Kwa Hisani Ya Total Knockout
Picha Kwa Hisani Ya Total Knockout
No comments:
Post a Comment