
Christine Mhando (Chichia) katikaLondon Fashion WeekMwanadada Christine Tido Mhando, maarufu kama Chichia – London, anaendelea kutesa katika Ulimwengu wa Mavazi nchini Uingereza na Ulaya kwa ujumla. Pichani ni Maonyesho maarufu ya Mavazi yajulikanayo kama London Fashion week, yaliyofanyika wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Battersea Art Centre- London
Angalia video ya shoo hiyo hapa

No comments:
Post a Comment