Hellow Sheria... Je unampango wowote wa kufungua duka la nguo zako ama kusambaza designs zako katika maduka makubwa bongo..ili watanzania wenzako waliopo huku nyumbani nao wafaidike na designs zako?? Ningependa sana kuliona duka la sheria Designs nyumbani...
1 comment:
Hellow Sheria...
Je unampango wowote wa kufungua duka la nguo zako ama kusambaza designs zako katika maduka makubwa bongo..ili watanzania wenzako waliopo huku nyumbani nao wafaidike na designs zako??
Ningependa sana kuliona duka la sheria Designs nyumbani...
thanks \
Zainab
Post a Comment